Friday 24 November 2017

Rais Magufuli atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge Songea


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri, Mhe Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Tutubert Gama.



0 comments:

Post a Comment