Friday 1 December 2017

Nimeshawahi kuchepuka-Jay Z


Jay Z ambaye ni mume halali wa mwanamuziki Beyonce amekiri kufanya kosa hilo kwa mara ya kwanza kupitia jarida la Style la gazeti la The New York Times alipokuwa akiongea na Editor wa jarida hilo aitwaye Dean Baquet ambapo alielezea sababu za yeye kuamua kufanya hivo ikiwemo kujiwekea vizuizi kutokana na matatizo aliyokumbana nayo alipokuwa mtoto, jambo ambalo lilimfanya kujifungia na kuwa uzinifu.
“Kitu kigumu ni kuona uso wa mtu uliojaa huzuni uliosababishwa na wewe,” alisema Jay -Z, pia akaongeza kuwa bila kupata ushauri maalumu basi angeweza kuachana na mkewe Beyonce.

Mnamo wa 2013, kulikuwa na uvumi kwamba rapper huyo anamsaliti mkwe hali iliyochochea watu kuamini baada ya kushambuliwa na ndugu wa mkwe, Solange Knowles katika lifti

0 comments:

Post a Comment