Friday 15 December 2017

VIDEO-GEEBOY TRIS ft MAHO 'Nikizipata'

Mwanamuziki chipukizi Geeboy Tris wa hapa Bongo aeleza hisia zake kipindi ambacho atapata mafanikio na kueleza nia halisi atakavyozitumia pesa zake kwa wasanii wakike ambao wameshikilia kiwanda cha Bongo movie na bongo Fleva.

0 comments:

Post a Comment