Monday 28 May 2018

Falz kufuata nyayo za Childish Gambino 'This is America



Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Donald Glover A.K.A Childish Gambino kuachia ngoma ya 'This is America' rapa Falz falz kutoa remix yake aliyoiita  #ThisisNigeria huku akiwa ameongelea zaidi uhalifu,ufisadi kutoka kwa wanasiasa,uchawi na madawa ya kulevya.

0 comments:

Post a Comment