Sunday 3 June 2018

Chief Keef apigwa risasi



Baada ya kutoa taarifa ya uongo siku ya jana Kuhusu Tekash69 na Fetty Wap, Leo TMZ wametoa taarifa ya kweli ya Chief Keef kupigwa risasi jijini New York.

Chief Keef amekoswa na risasi leo saa 12 asubuhi nnje ya W Hotel katika jengo la Times Square. Vijana wawili weusi wakiwa wamevaa hoodies nyeusi walionekana wameshika risasi wakati wa tukio linatokea lakini police hawaja tambua ni kina nani wakati wanaendelea na upelelezi.

Chief Keef alikoswa na risasi wakati anatoka nnje ya hotel na kurudi ndani ya hotel ili kujiweka salama mpaka polisi walipokuja. Tekash69 pia anahusishwa katika tukio la leo kwa sababu ana beef na chief Keef katika mitandao ya kijamii wakati tekash69 yupo Los Angeles

0 comments:

Post a Comment