Sunday 29 July 2018

Jokate Mwegelo aula ukuu wa Wilaya Kisarawe



Rais John Magufuli amemteua mwanamitindo maarufu nchini Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

Viongozi wengine waliotangazwa ni pamoja na mwandishi Jerry Muro(Mkuu wa Wilaya ya Arumeru) Patrobas Katambi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma

0 comments:

Post a Comment