Wednesday 5 September 2018

Wema Sepetu amshushia kichambo Mange kimambi



 Kupitia ukrasa wake wa Instagrama mwanadada Wema avunja ukimya na kuandika maneno mazito juu ya Mange Kimambi.
 @wemasepetu Kama maneno mkuki, Lenga unifyatulie... Kusanyana mashabiki, waje wakusaidie.... Imara sibabaiki.... Tena nitazame ndie mie.....
To whom it may Concern.... Kubambwa mbambwe muanze kusema yangu.... Nimechoka sasa.... Kwani aliefurahia ni mimi peke yangu.... Yaani wewe dada mpaka huwa nakuskitikia wallahy.... Ebu mniache basi... Ndo mshakutwa tena Red Handed.... .
.
.
Red Handed Nako K... Defence hamna kiukweli... Ndo ipo hivyo... Pambaneni na hali zenu please.... And Yoooou.... Kuwa mshauri mzuri basi kwa mdogo wako....
.
.
.
Miaka Kumi nayo K... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umebakia kusema Nyumbu Nyumbu... Smh... Come up with something New Pleaseeee.... Wewe ushakuwa mtu mzima sasa.... Set an Example..... Mxxxxxxxxiuuue .... Mtu Mzima Ovyooooooooooo..... Fanyeni mtoe na Vn zangu za Kuloga basi... Eti leo mnasema vya Muna kusema na wakati aliulizwa akakataa.... Mna wazimu nyie eeh.... Wewe huwa nakuonaga ni mkubwa basi nikupe heshima kama dada ila hustahili heshima hata kidogo mbwa wewe.... Baki kwenye mipaka yako hangaika na maisha yako.... Usimdanganye huyo mtoto mchawi kuwa anaweza kuwa mimi hata siku moja.... Hawezi na hatokaa aweze.... Mmedhalilika na ndo itabaki kuwa hivyo..... Aibuuuuuu saaaaaanaaaa Mungu wangu.... Yaani hata azikiri UCHI hawezi.... Mxxxxxxiiiuueee
.
.
.
Mmebambwaaaaaaaa ..... Tena Mmebambwaaaaa Vizuri..... Aibuuuuuuuuuu..... Mambo mmeyatindinganya huko mnimalizie hasira mie... Eti Wema Wema.... Si sina mvuto mimi... Nini nimekukaa kooni mbwa wewe.... Sikuheshimu.... Sikupendi na Nataka uniache na Maisha yangu hayakuhusu.... .
.
.
.
Tukio la leo ni zito sana.... Hata mimi ningekuwa Hoves.... πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’
.
.
.
Oh nd By the way.... Yes Mimi Ni Tasa SO WHAT....????

0 comments:

Post a Comment