Wednesday 22 November 2017

Mariah Carey rasmi ndani ya Roc Nation ya Jay-Z

Pop diva Mariah Carey  anaamini kuwa Jay-Z’s na lebo ya  Roc Nation inaweza kumrudisha katika chat ya mziki kama zamani.


Mwanamuziki huyo amejiunga na Roc Nation baada tu  ya kuwa na uongozi mbaya uliosababisha anguko lake kama mwanamuziki huku meneja wake aliyemfuta kazi Stella Bulochnikov mwezi mmoja uliopita akidai kuwa ajawahi kusababisha anguko lake sema tu Mariah kaishiwa katika mziki.

0 comments:

Post a Comment