Wednesday 22 November 2017

Tyrese akatazwa na mahakama kumchapa mtoto wake

Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Tyrese ambaye hivi karibuni alifikishwa mahakamani kwa kosa la kumchapa mwanaye  mwenye umri wa miaka kumi Shayla Tyrese na mahakama kumtaka kuachaa mara moja tabia ya kumchapa mwanaye kwani ni kinyume na sheria nchini humo .

Kesi hiyo iliyopelekwa na mzazi mwenzie aliyeachana nae Norma Gibson ameiomba mahakama iwapo Tyrese atashindwa kuachana na tabia ya kumchapa mtoto wake ni bora atafutiwe shule maalum ya kumfundisha malezi bora ya mtoto.

0 comments:

Post a Comment