Tuesday 21 November 2017

Nape-Mbegu ili iote lazima ioze


Mbunge wa Mtama Nape Nnauye alirudi nyumbani Kusini kwenda kunadi wanaogombea Udiwani ambapo hii ni wakati akiwa kwenye Kata ya Relini Mtwara-Mikindani ambapo pamoja na kumnadi mgombea, Nape aliongelea ishu nyingine.
Namnukuu akisema “Wanaodhani Nape anapitia milima na mabonde ni kwasababu mbegu ili iote ni lazima uizike chini inyeshewe nguvu ioze, baada ya pale ikiinuka haiwi mbegu tena linakua zao kamili

0 comments:

Post a Comment