Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Pharrell Williams amefanikiwa kukava jarida la Vogue linalotarajiwa kutoka mwezi Disemba.Ndani ya jarida hilo Pharrell ametokelezea akiwa na mwanamitindo wa Uholanzi, Imaan Hammam ambaye pia ana asili ya nchini Misri na Morocco,Hiyo itakuwa ni mara ya tatu kwa mrembo Imaan kutokelezea kwenye jarida hilo..
Friday, 10 November 2017
Home
/
Burudani
/
Entertainment
/
Mitindo
/
Trend
/
Pharrell Williams na Imaan Hammam wang'ara katika jarida la Vogue mwezi Disemba
Pharrell Williams na Imaan Hammam wang'ara katika jarida la Vogue mwezi Disemba
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Pharrell Williams amefanikiwa kukava jarida la Vogue linalotarajiwa kutoka mwezi Disemba.Ndani ya jarida hilo Pharrell ametokelezea akiwa na mwanamitindo wa Uholanzi, Imaan Hammam ambaye pia ana asili ya nchini Misri na Morocco,Hiyo itakuwa ni mara ya tatu kwa mrembo Imaan kutokelezea kwenye jarida hilo..
0 comments:
Post a Comment