Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ameongeza mtoto wa 4 katika familia yake. Wiki chache zilizopita alitangaza kuwa mtoto huyu ataitwa Alana Martina.
Hii ni picha ya Ronald na mchumba wake Georgina Rodriguez ambaye amejifungua salama mtoto wao wa kike.
0 comments:
Post a Comment