Monday 13 November 2017

Davido Anyakua Tuzo MTV AWARD EMA

Msanii kutoka Nigeria Davido anyakua MTV European Music Awards ‘EMA’ ya mwaka 2017 kupitia Kipengele cha Best African Act.

Davido alikuwa akiwania tuzo hii na wasanii wengine kutoka Afrika kama WizKidNyashinskiBebes Wodumo , C4 Pedro, na Nasty C wa Africa Kusini.

0 comments:

Post a Comment