Monday 18 December 2017

Harmonize na Iyo waja na hii “Nakupenda”



Msanii wa kike kutoka nchini  Nigeria Iyo ambaye amekuwa akishirikiana na wasanii kutokea Tanzania akiwemo Diamond na Shilole,katika kipindi hiki msanii huyo amekuja na 'Nakupenda' ambayo amemshirikisha mtanzania Harmonize.

0 comments:

Post a Comment