Sunday 10 December 2017

Makamu wa Rais awaasa wanawake UWT kuwa na ushirikiano


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amefunga mkutano wa Mkuu wa 9 wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na kuwasihi wanachama na viongozi waliochaguliwa kuongoza jumuiya kwa maslahi ya Jumuiya hiyo na CCM kwa ujumla. Ambapo mkutano huo ulikuwa ukifanyika mjini Dodoma.





0 comments:

Post a Comment