Tuesday 12 December 2017

Steve Nyerere na ndoto za kuiongoza Kinondoni,aiita Texas ya Bongo



Msanii wa filamu, Steve Nyerere ameweka wazi mpango wake wa kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Kinondani baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Mhe. Maulid Mtulia kupitia tiketi ya CUF na kukihama chama hicho na kuamua kuhamia CCM hivyo na kupoteza sifa ya kuwa mbunge.
Akizungumza na Bongo 5 ameeiambia kuwa ndoto zake za kuwa mbunge kuwa zinakaribia na haina haja kwake kusuburi mpaka uchaguzi mkuu wa 2020.
Aidha ameonekana kuinadi sana kinondoni na kudiriki kuiita 'Texas' ya bongo akidai kuwa kila kitu kizuri kinapatikana huko.

0 comments:

Post a Comment