Monday 11 December 2017

Tekno akiwa na Drake-VIDEO

aada tu ya moja ya show ya mwanamuziki Drake kumalizika katika moja ya kumbi kubwa Miami ,msanii kutoka nchini  Nigeria Tekno miles anayetamba na kibao cha 'Go' alichukua video akimuonesha akiwa nawe siku hiyo na  kuirusha kupitia Instagram yake na jambo hilo kuzua maneno juu ya msanii kufanya kollabo na Drake.

Msanii Drake ambaye ameshawahi kufanya mziki na moja ya wasanii nchini Nigeria Wizkid na kutoa kibao cha  'One Dance'' na 'Come closer' na kufanya kupendwa sana na mashabiki wa Wizkid nchini Nigeria.

0 comments:

Post a Comment