Madaktari 30 wafanya upasuaji wa masaa 12 kutenganisha mapacha nchini India.
.
.
Timu ya madaktari 30 katika hospital ya Parel-based Nowrosjee Wadia Maternity wamefanikiwa kuwatenganisha mapacha waliozaliwa wameungana mwaka jana September 19 nchini India. Madaktari hao wamefanikiwa kuwatenganisha mapacha hao kwa masaa 12 wakifanya upasuaji.
.
.
.
.
Baada ya upasuaji daktari mkuu wa kitengo cha upasuaji wa hospitali hiyo alizungumza na kuelezea jinsi walivyokua na wanapata ugumu katika kutenganisha mapacha hao. - “They had to be operated very carefully as we feared that they may suffer heavy bleeding or their blood pressure may drop,” .

0 comments:
Post a Comment