Licha ya kukabiliwa na upinzani
mkali kutoka kwa Dallas Mavericks kwenye mechi ya jana, mabingwa
watetezi wa ligi kuu ya kikapu nchini Marekani Golden State Warriors
wamafanikiwa kushinda kwa alama 125-122.
Kwa kile kilichokuwa kikionekana kama Mavericks wanashinda baada ya
kuongoza kwa alama katika robo ya pili na robo ya tatu (yaani 35-32,
28-24), mambo yalibadilika katika robo ya nne baada Warriors
kujukusanyia alama 34-33.
Lakini kiama kiliwafika mabingwa wa mwaka 2016 Claveland Cavaliers walipofungwa na Boston Celtics kwa alama 102-88 na kuendelea kuiweka timu hiyo katika nafasi mbaya kwenye msimamo wa ligi.
Nyota wa Boston waliofanikisha ushindi huo ni Jaylen Brown, Al Horford na Jayson Tatum ambao kwa pamoja walifunga alama tatu kwa wingi kila mmoja.

0 comments:
Post a Comment