Friday 5 January 2018

Kevin Gate kuachiwa huru bada ya kuhudumu jela miezi 9

  Msanii mwenye miondoko ya rap kutoka nchini Marekani Kevin Gates anayehudumia kifungo cha miezi tisa jela huko Florida ,wiki ijayo anaweza akaachiwa huku akiwa amepewa masharti.  


Kevin Gates ambaye alifungwa baada ya kukutwa na makosa mawili hasa lile la kumpiga shabiki wake mwaka 2015 wakati akiwa katika kumbi moja jijini Florida na pia kutumia silaha ya moto kinyume cha sheria kama sheria za nchini humo zinazotaka.

Moja ya masharti yaliyo juu ya msanii huyo pindi akitoka jela ni kuto kutumia silaha yeyote na kutumia kilevi wakati akiwa katika kumbi za starehe

0 comments:

Post a Comment