Monday 15 January 2018

Dj Khaleed kuwashirikisha Jlo na Cardi B ndani ya ngoma yake mpya

 
Dj Khaled anatarajia kuachia nyimbo mpya mwisho wa mwezi huu akiwashirikisha Jennifer Lopez na Cardi B.  Nyimbo hiyo inaitwa "Quiero Dinero" ambayo ni maneno ya lugha ya Hispania maana yake ' Nataka hela' (I want money)

0 comments:

Post a Comment