Wednesday 3 January 2018

Harmonize afuata nyanyo za Casper Nyovest




Msanii Harmonize kutoka label ya WBC WASAFI aacha historia nyumbani kwao Mtwara baada ya kujaza uwanja wa Nangwanda siku ya mkesha wa mwaka mpya.
Hii ni hatua kubwa sana kwa mwanamziki kujaza uwanja wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kubeba maelfu ya mashabiki.
Wasanii wachache sana Afrika wenye uthubutu wa kuandaa show kama hizi ni Casper Nyovest (South Africa), Wizkid, Davido (Nigeria) na Amr Diab (Egypt).

0 comments:

Post a Comment