Wednesday, 3 January 2018

Waoshinda kucheza 'video game' hatarini kuugua magonjwa ya akili


Shirika la Afya Duniani (WHO) limebainisha kuwa watu wanaotumia muda mwingi kucheza Video Games wako kwenye hatari kubwa ya kuugua magonjwa ya akili.

Kwa mara ya kwanza utafiti huo wa WHO umeubainisha mchezo huo(Video Gaming) kuwa sehemu ya uraibu unaowatesa maelfu ya watu Ulimwenguni

Mpaka sasa mataifa kadhaa yameanzisha Kliniki maalumu kwaajili ya kutibu na kuwashauri watu walioathirika na michezo hii

0 comments:

Post a Comment