Wednesday 3 January 2018

Mike Tyson kanunua shamba kuanza kilimo cha Bangi Calfornia


Mwanamasumbwi wa zamani kutoka nchini Marekani MikeTyson ameamua kukunua shmba la takribani heka 40 katika mji wa Calfornia huku lengo lake kuu ni kufanya kilimo cha bangi.

Hatua hiyo ameichukua baada ya mji wa Calfonia kukubaliwa kwa uuzaji wa zao hilo haramu la bangi na kuanya kuwa mji wa tatu nchini humo kuuza .

Shamba hilo ambalo litaitwa "Tyson Ranch" ambapo amedhamiria kutumia heka 20 kupanda zao hilo huku heka zinazobakia kutumika kama sehemu ya kufundishia wakulima namna ya kupanda zao hilo na pia kujengwa kwa shule yake ya Weed school.

0 comments:

Post a Comment