Friday 5 January 2018

NASA watangaza siku ya kumuapisha Odinga


Baada ya kuahirishwa mara mbili, muungano wa upinzani umepanga kumuapisha kiongozi wao Raila Odinga kama rais, na Kalonzo Musyoka kama makamu tarehe 30 Januari.

Mwanasheria Mkuu wa Kenya alionya kuwa kitendo cha kuapishwa Odinga ni uhaini ambayo adhabu yake inaweza kuwa kifo

Mwanasiasa huyo nguli amejibu kuwa yupo tayari kufa ili watu wapate kiongozi waliyemchagua.

0 comments:

Post a Comment