Friday 5 January 2018

Offset akumbwa na kashifa ya mkanda wa ngono


Rapper Offset kutoka kundi la Migos adaiwa kumsaliti mpenzi wa Cardi B baada ya kusambaa kwa video ya ngono akiwa na mwanamke inayosambaa kwenye mtandao wa Twitter.
Video hiyo imesambaa kwenye mtandao wa Twitter ikiwa na hashtag #Offset mpaka sasa hajajulikana ni nani aliyevujisha video hiyo.

0 comments:

Post a Comment