Monday 15 January 2018

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi Kagera

Rais Dk John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa Mkoa wa Kagera kufuatia vifo vya watu 11 waliofariki leo kwenye ajali ya gari

Kwenye taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Serikali ambayo imeelezea jinsi Rais alivyoguswa na kusikitishwa na vifo hivyo, na kuwafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu.


0 comments:

Post a Comment