Saturday 13 January 2018

Young Thug, future waja na "Mink Flow"- NEW VIDEO

Baada ya kelele za muda mrefu kwamba Young Thug anapita njia za future, ameamua kuja na ngoma akiwa na Future ndani yake. Ngoma inaitwa "Mink Flow" kila mmoja kaonyesha uwezo wake humo ndani na kuifanya Trap iwe tamu zaidi, Itazame hapa.

0 comments:

Post a Comment