Saturday 13 January 2018

Nyimbo ya Nyashinski 'Hayawani ' yapata doa

Kenyan Musician-Nyashinski


Muziki wa msanii kutoka nnchini Kenya  Nyashinski umeingia doa baada ya wazo lililotumika ndani ya hayawani kufananishwa na wazo Jay Z na Kanye katika video yake ya hivi karibuni.
Kwa mujibu wa mtandao wa Pulse Kenya umeonesha kuwa nyimbo yake ya 'Hayawani' ya Nyashinski iliyochapishwa kwenye YouTube tarehe 30 Novemba 2017 inafanana na video iliyotolewa mwaka 2012, collabo kati ya Kanye West na Jay Z yenye jina la 'No Church in the Wild'.
  Kanye West na  Jay Z's katika kibao chao cha Church in the wild .
  Nyashinski's katika  Hayawani 
        
The disruptive youth have hidden their identity by covering their faces in both videos. Youths also attack the police by lighting fires near the them in the two videos.
The two videos depict a confrontation that ended up being a fight between a group of unruly youth and the police.

 Nyashinski's katika  Hayawani Katika video zote mbili, polisi huwasili wakiwa katika farasi huku wakiwa wameshikilia ngao wakiwa tayari kwa vita. Nyingine ikionesha kundi la vijana wakijaribu kukabiliana na polisi ilikuwa eneo lililojitokeza kwenye video zote mbili. Mapambano hayo yanakabiliwa kati ya polisi na vijana. Makundi yalio katika video zote mbili hutumia mawe ili kupigana.
 Kanye West na  Jay Z's katika kibao chao cha Church in the wild .

0 comments:

Post a Comment