Wednesday 14 February 2018

Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangarai afariki dunia



Morgan Tsvangarai amefariki kwa maradhi ya Saratani na alikuwa akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini juu ya maradhi hayo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu
Kiongozi huyo atakumbukwa kama kiongozi mahiri ambaye awali alikuwa rafiki mkubwa wa Rais aliyejiuzulu, Robert Mugabe, kabla ya kutofautiana na kuwa mpinzani wake mkubwa kupitia chama cha upinzani cha MDC

0 comments:

Post a Comment