Mahakama Kuu imemhukumu kifungo cha maisha Polisi aliyewafyatulia risasi waandamanaji wanaompinga Rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila
Polisi huyo ambaye aliwapiga risasi za moto waandamanaji wawili na kuwaua papo hapo siku ya Jumapili Februari 25, 2018 aliibua hisia kali kwa raia wa nchi hiyo
Waumini wa Kanisa Katoliki wakiongozwa na viongozi wao waliandamana katikati ya mji wa Kinshasa wakishinikiza rais Joseph Kabila ang’atuke madarakani
Hata hivyo haki za binadamu bado wanadai hukumu hiyo haijatenda haki sawasawa kwani imewaacha wakuu wa Jeshi la Polisi
0 comments:
Post a Comment