Thursday 22 March 2018

Marais 27 Afrika wasaini makubaliano ya soko huria



 Marais 27 wa nchi tofauti katika bara la Afrika leo Machi 21, wamesaini makubaliano ya kuanzisha soko huria barani Afrika.


Pia, Wamepongeza uamuzi huo na kusema kuwa hiyo ni hatua ya mwanzo kabisa ya kuleta mapinduzi ya kujikwamua kiuchumi katika bara la Afrika.

Wamesema kwamba ni mara ya kwanza kutekelezwa kwa ndoto ya viongozi wa kiafrika waliotangalia ambao walikuwa wanataka kuliona bara la Afrika siku moja limeungana na wakazi wake wakitembea bila vipingamizi

Hata hivyo nchi ya Nigeria ambayo ni taifa kubwa la kiuchumi kwa sasa barani Afrika halijasaini mkataba huo na kuomba wapewe muda wa kutathmini suala hilo

0 comments:

Post a Comment