Thursday 22 March 2018

Yanga,Simba kukutana na vibonde


Klabu ya Yanga imepangwa kucheza na timu ya Wolaitta Dicha SC ya nchini Ethiopia katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

Yanga SC inashiriki michuano hii baada ya kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Michezo ya kwanza inatarajiwa kurindima mnamo tarehe 6,7, na 8 mwezi April 2018 na michezo ya pili kupigwa 17 na 18 mwezi April

0 comments:

Post a Comment