Hatimaye mwanamitindo na miss Tanzania mwaka 2001 Millen Magese @ladivamillen aweka picha ya mwanae aitwaye Prince Kairo.
Mwanamitindo huyo ambaye kwa muda mrefu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la uzazi Endometrosis .
Licha ya tatizo la endometrosis kusumbua wanawake wengi Duniani Millen ameendelea kuwapa moyo kwani imani yake ni kuwa linatibika.
0 comments:
Post a Comment