Wednesday 21 March 2018

Serikali yatoa tamko kushambuliwa kwa Afisa wa ubalozi wa Syria



 Serikali  nchini imesema inaendelea kufuatilia taarifa za kushambuliwa kwa Afisa wa Ubalozi wa Syria nchini.
Afisa huyo baada ya kushambuliwa aliporwa gari, simu pamoja na fedha kiasi cha Euro 9,300 sawa na zaidi ya Milioni 25 za Kitanzania
Inadaiwa kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan anakopatiwa matibabu

 Umma unaarifiwa kuwa vyombo vya dola vinafuatilia taarifa za Afisa Ubalozi wa Syria nchini kushambuliwa, kuporwa. Taarifa kamili itatolewa,“amesema Dkt. Abbas .

0 comments:

Post a Comment