Wednesday 21 March 2018

Mabalozi wapya nchini kuapishwa leo




 Rais Magufuli jana amewateua aliyekuwa IGP, Ernest Mangu kuwa Balozi nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu, Simon Mumwi kuwa Balozi nchini Urusi.

Wateule wote wataapishwa  leo Machi 21 Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5:00 asubuhi


Uongozi wa Ernese Mangu ulikoma ndani ya Jeshi la Polisi mnamo Mei 28, 2017 baada ya Rais Magufuli kumteua Kamanda Simon Sirro kuwa IGP mpya
Rais Magufuli aliahidi kumpangia kazi nyingine IGP Mstaafu, Ernest Mangu

0 comments:

Post a Comment