Wednesday 21 March 2018

'SIMU INANIFANYA KUWA MBALI NA MUNGU'-P DIDDY




Mkali wa muziki wa Hip Hop kitoka nchini Marekani Sean Combs P diddy amefunguka kupitia mtandao wa GQ na kusema kuwa mitandao ya kijamii inamuweka mbali na Mungu.


Msanii huyo amesema kuwa anatumia muda mwingi kutumia simu kwaajili ya mitandao ya kijamii na kusahau kufanya ibada .


"Nimekuwa natumia muda mwingi kutumia simu yangu na kusahau kufanya ibada kwa Mungu wangu jambo ambalo sio zuri,"

0 comments:

Post a Comment