Tuesday 20 March 2018

Trump aamua kupambana na madawa ya kuleya


Rais Donald Trump amependekeza kuwepo kwa adhabu ya kifo kwa wauza DawaZaKulevya ili kushinda mapambano dhidi ya dawa hizo

Hatahivyo ametoa mapendekezo hayo wakati akitoa mpango wake uliokuwa ukisubiriwa kwa muda mrefu wa kupambana na matumizi ya dawa hiz
 
Aidha, Kiongozi wa walio wachache Bungeni Nancy Pelosi amedai mapendekezo hayo yanahitaji fedha vinginevyo yataishia hewani tu


Bado haijafahamika ni jinsi gani waendesha mashitaka wanaweza kuomba adhabu ya kifo bila kubadili sheria za Marekani, baadhi ya wasomi wa sheria wanasema jambo hilo huenda ikabidi kuamuliwa na Mahakama ya juu ya nchi hiyo

0 comments:

Post a Comment