Tuesday 20 March 2018

Paris na Los Angeles wenyeji mashindano ya Olimpiki 2024 na 2028


Baada ya kusubiri kwa muda kidogo hatimaye jiji la Paris nchini Ufaransa limethibitishwa kuwa muandaaji wa michezo ya Olimpiki ya mwaka 2024. Mbali na jiji la Paris kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki ya mwaka 2024 jiji la Los Angeles nchini Marekani nalo litakuwa mwenyeji wa michezo ya mwaka 2028.
Rais wa kamati ya Olimpiki Thomas Bach amepongeza namna mchakato wa kuwapata wazabuni ulivyofanikiwa na kuzitaka miji hiyo kuanza manadalizi mapema.

0 comments:

Post a Comment