Saturday 14 April 2018

Lwandamina atoa sababu zilizomtoa Yanya



Kocha George Lwandamina aliyekuwa katika Klabu ya Yanga amefunguka akieleza sababu 6 zilizomuondoa klabuni hapo

Ametoa masharti mazito kwa uongozi wa Yanga akitaka kung’olewa kigogo mmoja, ambaye amedai amekuwa kikwazo katika utendaji kazi wake

Amedai chini ya uongozi wa Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Charles Mkwasa, amekuwa kwenye wakati mgumu kutekeleza majukumu yake

Mambo 6 aliyotaja ni Kupitwa na wakati kwa kanuni na taratibu za wachezaji, Ucheleweshwaji wa Mishahara, Mawasiliano mabovu baina yake na Mkwasa, Maelewano mabovu, gumu wa Mkwasa kumuona kocha na wachezaji kambini, na sakata la ngoma

0 comments:

Post a Comment