Saturday 14 April 2018

GUCCI MANE ANUNUA FERRARI GHALI ZAIDI DUNIANI.



Rapa kutoka nchini Marekani Gucci Mane ni miongoni mwa watu wa kwanza kumiliki gari la kifahari la Ferarri toleo la mwaka 2018.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameonekana kuweka wazi gari hilo la Ferrari 812 Super Fast ambapo pia amelinunua kwa kiasi cha dola 600,000 za kimarekani

Hatahivyo imeripotiwa kuwa alikuwa amepewa masaa 24 kununua gari hilo kwani alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wakiligombania.

0 comments:

Post a Comment