Wednesday 4 April 2018

Spika Ndugai arejea nchini



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai amewasili nchini leo

Aidha Spika Ndugai amepokelewa na Mbunge wa Viti Maalum, Mama Salma Kikwete na Wabunge wengine katika uwanja wa ndege Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) akitokea nchini India alikokuwa akitibiwa​

Mnamo Februari mwaka huu, Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai alitoa taarifa kuwa Spika Ndugai alisafiri kwenda nchini India kwaajili ya kuangalia afya yake

0 comments:

Post a Comment