Tuesday 3 April 2018

TANZIA: Winnie Mandela aaga Dunia,Aacha historia



 Mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi na mke wa zamani wa hayati Nelson Mandela wa Afrika Kusini, Winnie Mandela afariki dunia mapema leo jijini Johannesburg.

Taarifa hizi zimethibitishwa na msaidizi wake, Zodwa Zwane.

Winnie atakumbukwa kwa kushiriki harakati za kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.

0 comments:

Post a Comment