Wednesday 9 May 2018

Diamond Platnumz mbele ya Belaire




NA RAYMOND CARSON
Bongo fleva icon, Diamond Platnumz ni moja ya watu maarufu na mabolozi wa Belaire waliopata shavu la sura zao kuwekwa katika chupa za belaire badala ya nembo ya pombe hiyo BelaireIconSeries akiungana na mastaa wengine Duniani kama Russ, Fat Joe, DJ Khalid, RickRoss, Yemi Alade, Slump God, Na Nipsey Hustle.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond Platnumz ameandika,
"LEMMIE INTRODUCE YOU TO THE ICONIC SERIES ... AND FOR THE FIRST TIME WALIO ALIKWA KWENYE BIRRHDAY PARTY YA @sallam_sk THIS FRIDAY, WATAZIPATA...KISHA 13 PALE LIFE CLUB KWA SHOW YA @mbosso_ PIA NTAWAPATIA WATU WA 5 @officialbelaire ICONIC SERIES!!🔥🔥🤴🧚‍♂️"
.
.

0 comments:

Post a Comment