Mchezaji ghali kutoka taifa ya Brazil
anayecheza klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Neymar da Silva
Santos Jr baada ya habari nyingi kuenea kutokana na kutoonekana kwake
wakati wa mechi ya PSG na Monaco sasa amerejea.
Neymar amerejea Ufaransa baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu wake
mwezi Machi mwaka huu nyumbani kwao Brazil huku akitegemewa kuwa
atarejea uwanjani wakati wa fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini
Russia lakini kuna tetesi kuwa anaweza kuichezea PSG kabla ya msimu
kumalizika.
0 comments:
Post a Comment