Monday, 14 May 2018

Wenger agombaniwa 'kama ndizi kwa ngedere'

Baada ya kutangaza kustaafu Kocha Arsene Wenger wa klabu ya Arsenal amesema ana ofa nyingi mezani kwake kutoka vilabu tofauti zinazomtaka. Amesema hakutarajia kupata ofa hizo baada ya kutangaza kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu huu.
Kocha huyo aliyeinoa Arsenal kwa miaka 22 anatarajiwa kubaki katika nafasi ya uongozi ndani ya klabu hiyo aliyojiunga nayo mwaka 1996.
Wenger atakuwa kwenye benchi kuiongoza Arsenal katika mchi zake 2 za mwisho dhidi ya Leister City na Hudderfield Town.

0 comments:

Post a Comment