Tuesday 29 May 2018

Mhamiaji apewa uraia wa Ufaransa kwa kukuokoa mtoto



Kijana mhamiaji kutoka Mali, Mamoudou Gassama(22) akiwa na Rais wa taifa hilo Emmanuel Macron

Gassama amekutana na Rais Macron baada ya kumuokoa Mtoto aliyekuwa akining'nia katika jengo moja Jijini Paris

Rais Macron amempa uraia wa nchi hiyo pamoja na kazi katika Kikosi cha Zimamoto

0 comments:

Post a Comment