Tuesday 29 May 2018

Nicki Minaj amtetea Drake kwenye bifu na Pusha T



Young Money bado wanapeana support ya nguvu, Nicki Minaj amesungumza kuhusu issue ya Drake kuandikiwa mistari na Quentin Miller

Nicki amesema watu wanaongelea issue ndogo ya Quentin kama hawajuhi kuwa Drake huwa anaaandika ngoma zake na pia huwa anawaandikia wengine.

Pusha T alimdiss Drake kwenye ngoma ya “Infared” Drake na yeye akamjibi siku hiyo hiyo na disstrack “Duppy Freestyle”

0 comments:

Post a Comment