Saturday 2 June 2018

BTS - Fake Love free mp3 download

BTS (Beyond The Scenes) aka Bangtang Boys kundi la vijana 7 kutoka nchini Korea Kusini wameachia track mpya "Fake Love" kutoka kwenye album yao mpya "Love Yourself" ambayo imekamata nafasi ya kwanza katika Billboard 200 wiki hii USA baada ya kuuza nakala 135,000 kwa wiki moja.

Download

0 comments:

Post a Comment