Monday 11 June 2018

Falz azidi kukaidi agizo la MURIC



Rapa Falz anayetamba na ngoma ya "This Is Nigera" ameibuka na kusema kuwa haogopi mpango wa Muslim Right Concern (MURIC) uliomtaka msanii huyo kufuta vipande vinavyowaonesha wanawake wakiwa wakicheza huku wakivalia vazi la hijab.

Falz amesema kuwa hawezi kufanya maamuzi ya kuifuta ngoma hiyo Bali anasubiria kwenda mahakamani.

Kiongozi wa kundi la (MURIC) lenye msimamo mkali, Ishaq Akintola alimtumia barua Falz kufuta video yake ndani ya siku Siku saba na iwapo atakaidi basi watampeleka mahakamani.

0 comments:

Post a Comment